Hospitali ya Rufaa ya Mkoa - Amana

Elimu ya Afya ya Jamii

LISHE

HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA IDARA YA LISHE

Huduma zetu zinapatikana muda wote wa kazi katika siku tano za wiki

Tunatoa unasihi, tunaelimisha, tuafanya ugunduzi na kusaidia watu wote wenye lidhe duni wanaokuja kutibiwa na waliolazwa hapa hospitalini

Tunatoa elimu ya lshe kwa wajawazito na wanao nyonyesha  wanaokuja kliniki na waliolazwa hapa hospitalini.

Pia, tunapokea rufaa zote kutoka vituo vya Afya na Zahanati nje na ndani ya Ilala

MAFANIKIO

Tumeweza kwa kiasi kikubwa kutibu na kupunguza utapiamlo kwa wale wote waliokuja Amana kutafuta matibabu kwa kawapa ushauri na tiba kwa kuwapa chakula lishe na maziwa lishe

read more