Hospitali ya Rufaa ya Mkoa - Amana

All Clinics

Huduma ya kliniki ya Mifupa inatolewa siku ya Jumanne na Alhamisi

Huduma ya kliniki ya Ngozi inatolewa siku ya Jumanne

Huduma ya kliniki ya Magonjwa ya Ndani inatolewa siku ya Jumanne na Alhamisi